+255 753 204 743 mkumbosj@gmail.com, facebook.com/mwlsamwelmkumbo

Thursday, April 4, 2013

GKB MINISTRY NA UZINDUZI WA DVD NA MAGAZINE

Ni wakati mwingine tena uongozi wa GOD'S KINGDOM MINISTRY (GKB) wanakukaribisha katika uzinduzi wa Jarida (Magazine) na Video (DVD). Tarehe 13 Aprili 2013. katika maelezo ya tukio hilo watumishi wa Mungu viongozi wa GKB wamesema tukio hilo litaanza kuanzia saa sita na nusu 12:30 mchana hadi saa kumi na moja jioni 5:00. 

Waimbaji watakaokuwepo katika tukio hilo ni JOSHUA MLELWA, NYELU OMEGA (Ngangasyungu) kwa pamoja na Timu ya Kusifu na Kuabudu ya GKB.

No comments:

Post a Comment

Home