Mwl Samwel Mkumbo akiwa pamoja na wenyeji wake Mkoani Arusha akielekea katika Huduma ya Mkutano wa Injili na Semina iliyoandaliwa na Kanisa la KKKT. |
Wenyeji wa King'ori Arusha wakisikiliza Mafundisho kutoka kwa Mwl; Samwel Mkumbo. |
Mwl; Samwel Mkumbo akiomba kwa ajili ya wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali. |
![]() |
Mwj; Imani Oscar |
![]() |
Mwl; Christopher Mwakasege |
Mwl; Samwel Mkumbo akiongoza maombi katika Mkutano wa Injili kijini King'ori mkoani Arusha |
Baadhi ya kundi la watu waliohudhuria mkutano wa Injili King'ori |
Semina ya Neno la Mungu Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) |
![]() |
Mwl; Samwel Mkumbo akifundisha Mkutano wa Injili Mkoani Arusha katika kijijji cha King'ori (Picha na Lazaro Nnko) |
No comments:
Post a Comment