
TAMBUA BARAKA ZINAZOKUJIA ZINATOKA WAPI?
Na: Mwl; Samwel Mkumbo.
Na: Mwl; Samwel Mkumbo.
Hakika Baraka ni jambo mojawapo la msingi sana kwa watoto wa Mungu na ni jambo la Faraja tuonapo mwana wa Mungu akifanikiwa katika mambo yake yote. Kama inenwavyo;
..,….Mzee, kwa Gayo mpenzi, nimpendaye katika kweli. Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo…,… (3Yoh 1:1-2)
Mwl: Emmanuel Molell M |
MASWALI UNAYOJIULIZA YAMEKWAMISHA MAJIBU YA MAOMBI YAKO
Katika kitabu cha Yakobo 4:3 tunasoma "Mwaomba wala hampati .........." Imetokea kwamba mwanadamu ana maswali mengi saaana anayojiuliza hasa anapopita katika kipindi cha matatizo au majaribu. Ni vema kutambua kuwa tatizo si jaribu. Tatizo linakuwa jaribu pale linapokufikisha njia panda. Unapofika mahali ambapo huna msaada mwingine wa kukusaidia ktk sehemu uliyopo unaanza kutengeneza mawazo na hayo mawazo yanakupeleke kwenye kitu kinaitwa jaribu. Katika vipindi hivi mwanadamu amekuwa akiishi maisha yenye nidhamu ya uwoga.
SOMA ZAIDI...
SOMA ZAIDI...
No comments:
Post a Comment