+255 753 204 743 mkumbosj@gmail.com, facebook.com/mwlsamwelmkumbo

Thursday, April 25, 2013

MKESHA WA GKB

GKB ni kifupi cha Maneno God's Kingdom Business. Ni huduma inayounganisha Wanafunzi waliookoka katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini Tanzania kutoka vikundi vyote na Madhehebu mbalimbali.
WANAKUKARIBISHA KATIKA MKESHA WA MAOMBI, IJUMAA HII, yaani TAREHE 26/4/2013.
NI KATIKA KANISA LA MABIBO MORAVIAN, kuanzia saa TATU USIKU. WOTE MNAKARIBISHWA.
KWA MAWASILIANO 0762-821 448 / 0753-111 647
0658-602 904

Kutoka kwa Katibu

No comments:

Post a Comment

Home