Wengine wamekuwa nasi huko tunakoabudu. Ni vema kuwatazama wale wote waliotaabika na kujitaabisha kwa ajili ya IMANI, NAFSI ZAO na SISI tuliofikiliwa na Miisho ya Zamani.
Yawezakana sana kuitoa Injili ndani ya Nchi yetu na kuipeleka katika Mataifa mengine ikiwa na Nguvu KUBWA ya ROHO MTAKATIFU hata tukawa watu wa kuigwa na kutazamwa kama TAIFA Lenye Kumjua MUNGU.
Bishop: ZACHARY KAKOBE
No comments:
Post a Comment