GKB MINISTRY watafanya uzinduzi wa Jarida na Video ya Umisheni uliofanyika mkoani Tabora,. Coordinator(M/kiti) wa GKB amesema uzinduzi utafanyika katika kanisa la TAG CITY HARVEST lililopo maeneo ya Ubungo Garage katika kituo cha mafuta cha Victoria,.
Tarehe 13 April 2013, kuanzia saa 12:30 mchana
WAIMBAJI WATAKAOKUWEPO NI Joshua Mlelwa, Nyelu Omega.
No comments:
Post a Comment