![]() |
Ev; Elisante Daniel |
Tukiwa tunamalizia test za mwishoni kabisa kuelekea UEs,muda nao ni
mchache sana na amambo ni mengi ya kufanya mbali na masomo.Kutokana na
kusongwa na mambo mengi hayo na akili nazo wakati mwingine zinafika
ukomo wa kuwaza,na hapo ndipo msaada wa Mungu unapohitajika kukutoa na
kukupeleka pajuu pa ushindi.
Nami najua kabisa hizi ni
mbio zako za mwisho za kuhitimu na kutunukiwa degree yako hapo mwezi wa
kumi 2013.Sasa basi sina kizuri nachoweza kukupa kama dhahabu bali hili
moja tu nikupalo "MWAMINI
MUNGU ALIYEKUWEKA DUNIANI,TOA MUDA WAKO KAMA SADAKA KUMTUMIKIA,KABIDHI
NJIA ZAKO KWAKE NAE ATAKUTETEA KATIKA MAISHA YAKO NA MIPANGO
YAKO"
Ooooooooooh,hili nalo nisisahau kwa ajili yako..........
Nami sitaki wewe ukose kutiwa moyo na watu wa nyumbani mwako kama nifanyavyo,kusema NAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA YA UEs.
Anza mapema kujiandaa ili kuondoa stress.Adui wa kwanza na mkubwa wa maisha yako ni wewe mwenyewe (The first and greatest enemy of your life is your mind).Kufaulu na kufeli kupo mikononi mwako vyote kwa pamoja,basi chagua moja ufaulu kwa kufanya vyema kwenye mitihani yako.
MUNGU AKUTETEE,AKUTANGULIE,AKUONGOZE NA KUKUANGAZIA NURU KTK NJIA YAKO YA MAANDALIZI.UWE NA UFAHAMU WA KUTOSHA.

AAAAAAAAAAAAAAMEN.
No comments:
Post a Comment