+255 753 204 743 mkumbosj@gmail.com, facebook.com/mwlsamwelmkumbo

Thursday, August 15, 2013

WAWEZA KUUNGANA NA MWL SAMWEL MKUMBO KWA MAOMBI YAKO.

Mtumishi wa MUNGU, Mwl; Samwel Mkumbo anakukaribisha kushirikiana nae katika kumtumikia MUNGU kwa maombi yako.
Maombi yako ni muhimu mtu wa Mungu katika kuujenga ufalme wa Mungu na katika Huduma hii ili kuinua kanisa la Tanzania na Ulimwengu kwa Ujumla.
Pia waweza kutuma maombi yako unayohitaji kuombewa na Ushuhuda pia kwa mkumbosj@gmail.com au tuma kwa ukurasa wa facebook Mwl Samwel Mkumbo

Mwl Samwel Mkumbo akiwa pamoja na wenyeji wake Mkoani Arusha akielekea katika Huduma ya Mkutano wa Injili na Semina iliyoandaliwa na Kanisa la KKKT.


Wenyeji wa King'ori Arusha wakisikiliza Mafundisho kutoka kwa Mwl; Samwel Mkumbo

 
Mwl; Samwel Mkumbo akiomba kwa ajili ya wagonjwa na watu wenye shida mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Home